About man united

rymondjamjat

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
20
Reaction score
0
Yan man united mwaka kweli hata nafasi ya saba inakuwa ngumu kushikiria yani kweli siku kukosa hata hata ufanye nini ufanikiwi
 
Yan man united mwaka kweli hata nafasi ya saba inakuwa ngumu kushikiria yani kweli siku kukosa hata hata ufanye nini ufanikiwi

Mwaka huu wale washabiki wa Man U wa ukweli tutawajua. Wengine ni bendera fuata upepo usijeshangaa sasa wako Man City.
Sisi wengine huu ni kama mwaka wa njaa tu. Itapita. Mwakani tunasubiri Moyes afanye usajili atengeneze timu yake maana mpaka sasa yupo kwenye kivuli cha Ferguson. Mwakani tutajua mbichi na mbivu.
Timu naona bado nzuri upande wa washambuliaji. Tunahitaji kiungo mmoja au wawili na kufumua defence yote. Enzi ya Vidic na Ferdinand imekuwa historia tena. Angalia Man City bila Komany wanavyoweweseka.

Man U forever, Yanga forever. Mgambo forever!!
 
Hii man u inatusikitisha! Zamani tulikuwa tunauliza tumeshinda ngapi? Siku hizi kabla hujaingia kuwacheki unauliza tumefungwa ngapi ,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…