Julius Kaisari
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,176
- 675
Jamani huyu jamaa mkwere mi namshangaa..ni tabia ya mjinga kujichekesha chekesha wakati nchi inaomboleza na dhiki...huyu jamaa ni king'ang'anizi,ile mwaka 95 mwl alijua alikuwa hafai,akatumia kigezo cha ukomavu kisiasa,kumbe alimaanisha ni bogus..sasa watz hatukusoma maneno yale,au pengine ni kwa sababu tumekuwa tukichaguliwa na ccm......Sikupendi kikwete..hukustahili kuiongoza tz..rais gani asiye na mamlaka?asiyechukua hatua?kacheze ngoma na vimwana..ndicho uwezacho!
Dish la mkwere limeyumba
Mmhh, umetumia maneno makali. Siyo vizuri ndg yangu. Lakini naunga mkono hoja yako kwa asilimia 1,000.
Hivi huwa hasomi alama za nyakati huyu jamaa, kila sehemu watu wanamsema vibaya kwa jinsi nchi ilivyopoteza uelekeo!
chanel zote hazipatikani!
Sijaona ukali wa maneno yake. Au naye ulitaka azungumze akichekacheka kama Kikwete? Nachojua hajazungumza chochote kuhusu Mzee Kikwete, kazungumza kuhusu Rais Kikwete. Unataka azungumze kauli laini kwa wanasiasa wetu na kwa mambo nyeti ya kitaifa? Je, ungekuwa umedhurika na kipigo cha Arusha ungeongea kirahisi hivi?
BTW, huu "ulaini laini" tunaouendekeza Watanzania ndiyo unaotuponza, mambo ya msingi hatuko serious, tunachoweza ni kimoja tu: Kushinikiza Marcio Maximo aondoke.
Rais wa nchi anafungua shule ya msingi..........bogus kabisaNaona siku hizi hata kuongeza hadharani simuoni zaidi ya siku ile anafungua bunge na hotuba ya mwaka mpya tokea siku amkeuwa ni mtu kama vile wa kujifichaficha utamsikia tu kwenye ufunguzi sijui wa kampuni ya mbolea na kufungua shule ya msingi huko kwao msoga zilizojengwa na wachina kama kumlipa vile fadhila
Mmhh, umetumia maneno makali. Siyo vizuri ndg yangu. Lakini naunga mkono hoja yako kwa asilimia 1,000.
Naona siku hizi hata kuongeza hadharani simuoni zaidi ya siku ile anafungua bunge na hotuba ya mwaka mpya tokea siku amkeuwa ni mtu kama vile wa kujifichaficha utamsikia tu kwenye ufunguzi sijui wa kampuni ya mbolea na kufungua shule ya msingi huko kwao msoga zilizojengwa na wachina kama kumlipa vile fadhila
Naona siku hizi hata kuongeza hadharani simuoni zaidi ya siku ile anafungua bunge na hotuba ya mwaka mpya tokea siku amkeuwa ni mtu kama vile wa kujifichaficha utamsikia tu kwenye ufunguzi sijui wa kampuni ya mbolea na kufungua shule ya msingi huko kwao msoga zilizojengwa na wachina kama kumlipa vile fadhila
Naona siku hizi hata kuongeza hadharani simuoni zaidi ya siku ile anafungua bunge na hotuba ya mwaka mpya tokea siku amkeuwa ni mtu kama vile wa kujifichaficha utamsikia tu kwenye ufunguzi sijui wa kampuni ya mbolea na kufungua shule ya msingi huko kwao msoga zilizojengwa na wachina kama kumlipa vile fadhila
Jamani huyu jamaa mkwere mi namshangaa..ni tabia ya mjinga kujichekesha chekesha wakati nchi inaomboleza na dhiki...huyu jamaa ni king'ang'anizi,ile mwaka 95 mwl alijua alikuwa hafai,akatumia kigezo cha ukomavu kisiasa,kumbe alimaanisha ni bogus..sasa watz hatukusoma maneno yale,au pengine ni kwa sababu tumekuwa tukichaguliwa na ccm......Sikupendi kikwete..hukustahili kuiongoza tz..rais gani asiye na mamlaka?asiyechukua hatua?kacheze ngoma na vimwana..ndicho uwezacho!
Alikuwepo Mwinyi mkasema Serikali inaendeshwa na mke wake, Mkapa mkamsema kazi kununanuna mara dictator mbambe kwahiyo wenye akili timamu hawawezi kushangaa huyu kusemwa na sio JK tu hata hao watakaokuja watasemwa hiyo ndio hulka ya raia especial wa kibongo.