Fay Mastories
Member
- Jun 20, 2014
- 49
- 3
Daah!! Arovera mme wangu jitahidi basi hata ununue ka~vits mkeo napata shida hapa ila mmmh...
yaan hapa nimepanda daladala ya gongo la mboto leo kuna sehemu watu wanaamsha popo nilikerwa kazini mchana naenda kupooza huko na dompo!!.
ila hii nyomi ya watu humu kwenye uda ni balaa..,ukichanganya na perfurm ya vikwapa hatari!!.
sasa kuna mzee kidogo wa makamo kasimama nyuma yangu watu wamegoma kumpisha akae...mda mrefu namsikia anapapasa tu! mwanzon alikuwa anagusa anatoa now hadi anadandia nashindwa kumwambia heshima jamani! huu ustarabu wa hivi jaman mipapaso mingine ni shida,nikigeuka anatoa mikono nikipoteza hadi anayavutia kwake,.saiv anashusha zipu! uh jaman..hii kawaida au wadau?
Kilaza rudi bbm na post zako za kipuuzi!
aah taratibu baba kilaza...umeukalia nn
Broken family.lack of education..stress za maisha post vitu vya msingi
Daah! mama Arovera vumilia tu mke wangu! si unaona hali yetu kiuchumi ilivyo mbaya!
shida yako vitz tu, achana na alovera we njoo kwangu mtoto wa kike hatakiwi kupata shida ati!...lakini huko alipolegeza alovera mi sigusi asee nitaingilia mlango wa uwani, au na wenyewe ulishafunguliwa tayari?
laiti ungejua nilivyoridhika! sio bure unanitaka wewe! bahati mbaya sifagiliagi mashoga mbonyeo!
Shule kwanza.Nikutake mimi nakujua wewe?Elimu darasa la 7..Jaribu kusoma nyakati
dah! sina bahati,kumeshazibuliwa kitambo sanaaa....saizi ni hole
dah, basi hamna kitu hata huyo babu mwache tu aendelee na mishe za kufungua zipu!
Shule kwanza.Nikutake mimi nakujua wewe?Elimu darasa la 7..Jaribu kusoma nyakati
Kwa hiyo anakudandia wewe umetulia tu unasikilizia utamu???
kimenuka!!.Mom Fay + Fay Mastoriez.... Nduki!!....Acha nimsikilizie tu hapa maana!!.