Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Sure haya safari njemaMimi nimesema nataka mke sio mmama,sasa mimi mmama nampeleka wapiwakati homoni zimeanza kushuka ubora nani awe na gogo ndani,raha ya mke awe mbichimbichi wewe,Hata mama yangu mzazi hajawahi kunilea japo ni wajibu wake ndio aje anilee mmama kupitia mapenzi?,over my dead body
Huo wakati umefika tayari. Hili neno huwa linafikirisha sana.Tutekeleze maandiko aisee
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
ISAYA 4
1.Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”
Nawasemea na mimi nikiwemo😀Unajisemea ama unawasemea?
Ushafika mwambie Depal aache maringo😅😅😅😅Huo wakati umefika tayari. Hili neno huwa linafikirisha sana.
Wanyaki HAPANA wanaongea sana na wana masauti makubwaa kama wanaimba kwaya bila maiki😄😄😄Umeona nini mkuu?, usione sana ya wengine, tabia ya mtu mmoja ni tofauti na mtu mwingine, na kabila la mtu halimaanishi atakua na tabia hizo sana, oa mnyakyusa hutojutia [emoji3][emoji2088]
Hapo kwenye sauti😀😀 ni kama umeamua kunisema, ila si wanyaki wote wana sauti ya zege bana.😀Wanyaki HAPANA wanaongea sana na wana masauti makubwaa kama wanaimba kwaya bila maiki😄😄😄
Dada we tulia kwanza we wa wapi hapo Mbeya😄😄 usiniambie Tukuyu🤭Hapo kwenye sauti😀😀 ni kama umeamua kunisema, ila si wanyaki wote wana sauti ya zege bana.😀
Hahaa mkuuDada we tulia kwanza we wa wapi hapo Mbeya😄😄 usiniambie Tukuyu🤭
Wanawake wa Tukuyu wana maziwa makubwa matako kama piriton😌😇😇😇 wa Kyela ndio matata rangi kama wanyaturu shepu kama wamachame, miguu kama wagogo 🥰Hahaa mkuu
Haa unatutukana mkuu, ningekuonyesha shepu za kinyaki kukuprove wrong ila basi tuache tu, sawa oeni hao wengine ila mtatukumbuka tabia njema zetu😀😀Wanawake wa Tukuyu wana maziwa makubwa matako kama piriton😌😇😇😇 wa Kyela ndio matata rangi kama wanyaturu shepu kama wamachame, miguu kama wagogo 🥰
njoo kwanza PM tuyajenge 😛Nawasemea na mimi nikiwemo😀
Unatupanga sana wewe mwanamkeHaa unatutukana mkuu, ningekuonyesha shepu za kinyaki kukuprove wrong ila basi tuache tu, sawa oeni hao wengine ila mtatukumbuka tabia njema zetu😀😀
Siwapangi mkuu ni kweli wanyaki wako vizuri mnooUnatupanga sana wewe mwanamke
ibungila,Lutufyo,Mwakaleli,isokelo,Ipyana,Lutete au wapi/Hahaa mkuu
Labda unishawishi wewe😛Siwapangi mkuu ni kweli wanyaki wako vizuri mnoo
Hahaa mkuu ushawahi kuishi huko?ibungila,Lutufyo,Mwakaleli,isokelo,Ipyana,Lutete au wapi/
Kwa niaba ya wanyakyusa wote, tunasema sisi tuna tabia njema na tuna huruma sana😀Labda unishawishi wewe😛
nilikwenda kufundisha physics shule kadhaa baada yakumaliza kidato cha sitaHahaa mkuu ushawahi kuishi huko?
Ooh ok 👍 karibu tena mkuu, tupo hukunilikwenda kufundisha physics shule kadhaa baada yakumaliza kidato cha sita