Kwakweli MMU kumekuwa na malalamishi sijui masikitiko mahuzuniko meengi yani kila kukicha mabalaa yanaongezeka but thanks God wengine yameshawatokea masikioni wanaamua kuja kutupa tahadhari wana MMU.
Malalamishi/ onyo hizo moja kwa moja zinatuhusu sisi sisi wahumu humu na si kwingine.
Watu wana tongozana fresh wanakubaliana poa wakikutana tu au baada ya muda fulani wakiwa katika mapenzi, unakuta nyuzi kedekede huyu kamsema yule zilikwenda zikarudi na lots of blaa blaa.
WENZANGU WAMENYOA ZANGU NATIA MAJI!!!