maji hayapo ila mabomba ya dawasco mchinba yapo...umeme haupo ila nguzo na nyaya za tanesco zipo... Kwa hiyo nunua plot kisha chimba kisima upate maji.. Kuhusu umeme tumia solar au windmill au jenereta.... Kituo cha polisi kipo ila jengo lililopo halina askari kwa hiyo mutaungana kufanya ulinzi shirikishi...hosipitali ipo ila hakuana nesi na daktari.. Na siku wakiwapo hakuna dawa unashauriwa kwenda kunywa kikombe kwa bibi yupo karibu na sipitalui....ni maoni tuu...