A nice plot for sale at bunju b.

ishedaddy

Member
Joined
Mar 29, 2014
Posts
24
Reaction score
0
Plot nzuri ipo bunju b ninaiuza ni miguu 25/28. Maji umeme vyote vipo si mbali kutoka barabara kuu.
Ni sh 5.8 tu. It is also negotiable.
0713507487 / 0767507487.
 

Attachments

  • 1398074741352.jpg
    56.8 KB · Views: 199
Ni sehemu tu ya kiwanja ukitaka picha nyingi nipe namba nitume kwa watsup.
0713507487.
 
Here are some pics.
 

Attachments

  • 1398075871214.jpg
    73.6 KB · Views: 185
Plot nzuri ipo bunju b ninaiuza ni miguu 25/28 Maji umeme vyote vipo si mbali kutoka barabara kuu.
Ni sh 5.8 tu. It is also negotiable.
0713507487 / 0767507487.

Ni karibu na kwa Ritta Mlaki au maeneo ya kwa Bais?
 
Plot nzuri ipo bunju b ninaiuza ni miguu 25/28. .....

Vipimo kwa miguu eti 25/28! Tape Measure hakuna mpaka mnapima kwa miguu! Ni miguu ya mtu mfupi, wa kati ama ya mtu mrefu!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Acheni utani kwenye biashara za watu better muingie kwa inbox.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…