Siipendi kabisa hii notion, hakuna popote kwenye utamaduni "wetu" na hata ule usio wa kwetu kwamba kukisha kuwa na urafiki kati ya msichana na mvulana basi kitakachofuata ni kuvuana magagulo na kuchezeana makojoleo! Wewe tafuta rafiki -- usiweke dotted line, kwisha habari yake.