Sijui kwanini wabongo bei kwao uwa ni siri.
Uzuri wa kuweka bei ni kuondoa usumbufu mtu akikufuata anakuwa ashajua kama ni level yake ama siyo level yake.
Mwingine anaweza hisi labda bei ghali ila unaweza weka bei akaona kumbe bei naimudu akakufuata huko pm.
Sijawahi kuona bidhaa kwa wenzetu wanauza halafu wanakwambia bei mtafte