Yanga anamchapa mtu leo.
Tusubiri dakika 90
Yanga nawatakia mpakato mwema utapopakatwa na Mtibwa leo
leo yanga tunafungwa na mtibwa sugar tena nyingi tu timu yetu sio nzuri
nammendea BantuLady,nimeona Yanga madomo zege mnashindwa kumpepea mtoto,mapepe kibaoKumbe umekimbilia huku, na huku tupo, kimbia tena.
Yanga nawatakia mpakato mwema utapopakatwa na Mtibwa leo
leo yanga tunafungwa na mtibwa sugar tena nyingi tu timu yetu sio nzuri
Nikumbushe ni lini mara ya mwisho Mtibwa Sugar iliifunga Yanga katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam.