Nlinunua hivi vitu moaka kama 7 nyuma, nkavitumia kidogo nkaweka pembeni, leo kufukua fukua nkakutana na briefcase yenye hivi vifaa. Nlinunua mahususi kwa ajili ya kutimiza ndoto yangu ya ku innovate luku into multi energy meter, yani luku moja itumiwe na zaidi ya mteja mmoja, bahati mbaya technology hii ipo tayari nchini. Sina tena dreams za artificial intelligance, sina tena mpango na kujiendeleza kwenye nyanja hizo kwa sasa. Sina wa kumzawadia, na sasa naviingiza sokoni.
Utapata vitu vifuatavyo
1. MeLabs PIC Programmer ambayo nilinunua $120
2. 18f4550 PIC MicroController piece 5
3. Temperature Sensor
4. Current Sensor pieces 4 kubwa, 5 vidogo sana vya kuchemelea when you are done programming. Hivi ndio hutumika kwa meter za umeme.
6. 3 pieces LCD Display
7. EEPROM
8. 7Segemnt display zaidi ya piece 8,
9. Resistors za kutosha size mbali mbali
10. Capacitors za kutosha size mbali mbali
11. PIR sensor ot motion detectors piece 2
12. Buzzer
13. Keypad 2 pieces
14. BrotherSoft thermal printer
15. Wireless transmitter and receiver kwa ajili ya remote sensing programming
16. Na vingine vingi kama unavyoviona kwenye picha.
Vyote kwa Sh 300,000.00 tu.
0713752285