Veranfa ya nje ni kubwa sana, pia aina hii ya ramani inataka sehemu yenya upepo mwingi kwa mbele, vinginevyo joto litatesa sebleni kiasi cha kukufanya mwenyewe uikimbie uwe unakaa muda mwingi kwenye hiyo veranda ya mbele. Panga pangua sebleni pawe hapo dinning. Au itokeze kwa mbele na kuwe na muongezeko wa madirisha.