3 PSP for Sale

emilwayne

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
265
Reaction score
19
Ni mpya na zipo kwenye box lake and unapata na 2 cd free bei ni ndogo compare na bei yake,its onli 450,000... Pm me kama unahitaj
 
Ni mpya na zipo kwenye box lake and unapata na 2 cd free bei ni ndogo compare na bei yake,its onli 450,000... Pm me kama unahitaj

Mjomba kwa unatakiwa kujua kuwa si hakuna mtu anayejua kila kitu!
Unapoleta tangazo kama hili unategemea nini; kwa kifupi Tangazo lako halijitoshelezi kabisa, si kweli kama unavyofikiri kuwa hivyo vifupisho kila mtu anavijua!
Jifunze ku-socialize mambo!
Unasema zipo 3 bei 450,000 kwani lazima zinunuliwe zote kwa pamoja kama nataka moja kwenye hzo 3? Naomba mwongozo!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…