Tarehe 25 Mei ni siku ya kusherehekea African Day! About Africa Day:
Africa Day is the annual commemoration of the 1963 founding of the Organization of African Unity (OAU), presently recognized as the Africa Union (AU). The African Union, comprised of 53 member states, has brought together the continent of Africa to collectively address the challenges it has faced, such as armed conflict, climate change, and poverty.
kila trh 25 may hua ni siku ya Afrika Duniani, napenda kufungua ukurasa kwa kuhuisha malengo ya siku hii na utendaji kazi wa jumuiya hii ya Afrika (AU). Je AU INAFANYA KAZI IPASAVYO? AU IMEKUA KIMYA KTK MENGI SANA KIASI CHA SISI KUHOJI MENGI.
Nawatakieni nyote heri na fanaka katika maadhimisho ya SIKU YA BARA LETU..., Afrika...! Tujiulize: Tunatoka wapi..? Tuko wapi..? Tunaenda wapi..? Kuna lolote la kujivunia.? Kuna dalili ya kufika tuendako..?
Mkuu.
Nani aje atujengee Taasisi zetu?
AU inafanya kazi zake vile inavyopasa?.....jibu ni hapana.
Je wewe una mchango gani katika kuhakikisha Taasisi za Afrika zinafikia malengo yake?
Bado tunaamini NATO, US au taasisi nyengine ya nje itatutatulia matatizo yetu?
Kila mwafrika akiwa na mawazo kama yako mkuu...ni wazi huu utumwa mamboleo hautakwisha.
Je unataka kusema kuwa hatuna haja ya kuwa na Taasisi zetu Afrika? badala yake tuwape Zabuni NATO, France, UK, UN, IMF, World Bank ili wamalize matatizo yetu Afrika?