Gari hili bado ni jipya kabisa na lipo katika hali nzuri. Limetumika miezi 6 tu tokea liliponunuliwa. Limelipiwa kila kitu ikiwemo motor vehicle lisence pamoja na insurance. Bei ya hgari hili ni TZS 18,000,000/- Kwa atakaye hitaji gari hili awasiliane nami kupitia: