Haaaa umenichekasha sana mkuu umechukia nini mkuu kingereza kibovu usijali ila sijajua umechukia nini mpaka kuandika yote nikingereza tu au Tangazo naomba kujua kama ulikua na shida na kiwanja ila kwabahati mbaya umeshindwa kuelewa nilicho kiandika swala la madalali sio hoja kuna madalali wanajua vizuri lugha naomba uwaombe msamaha ,Kwawote kiwanja kinauzwa kiko kigamboni kikubwa kwamatumizi ya biashara kuna umeme na maji wote karibu .