ndio nini?au mgen kumbeTotal Posts
Total Posts 62
Posts Per Day 3.04
Find latest posts
Find latest started threads
Visitor Messages
Total Messages 0
Most Recent Message Never
General Information
Last Activity Today 00:32
Join Date 30th August 2013
wa2 wakikosa kaz bna utawaona 2..aya bna 2takuja bt funguka kuhusu tuition fee iz whch amount
Kwa mfano ungeandika" Watu wakikosa kazi bwana utawaona tu.Haya bana tutakuja but funguka kuhusu ..."...ungepungua kilo ngapi?...
kumbe ulielewa lakini! Vizuri kwa kumuelewa. Alichotumia ndio huitwa stylistics.
ndio nini?au mgen kumbeTotal Posts
Total Posts 62
Posts Per Day 3.04
Find latest posts
Find latest started threads
Visitor Messages
Total Messages 0
Most Recent Message Never
General Information
Last Activity Today 00:32
Join Date 30th August 2013
Mkuu kama una hayo maujanja we yatupie na sio kuleta u-TEKU wako humu.[/QUOT
u TEKU?
kwani wewe una unini?
great thinking starts from listening...!!
mkuu kwa kweli hujaitendea haki elimu yako!!!
kama kweli ni mgeni, ndio umpokee namna hii? je wewe ulivyoingia jf ulipokelewa namna hii?
jifunze[/QUO
Kisa mgeni ndio apost utoto kwenye jukwaa la elimu,kwanza anatudhalilisha mno that's why we invest a lot of time to discourage him so that next time he'll be wise...
Believe me; kuna wakati niliingia jukwaa la biashara na uchumi,kuna mpendwa alipost utumbo,then wakamwambie ule sio uwanja wa ujinga na utoto kama anapenda hayo,eti aje jukwaa la elimu ndio apost upumbav wake
kwa wale 1st year wote napenda kuwatangazia mapind ya chuo kama ifuatavyo. course zitakazofundisha ni kama ifuatavyo 1:jins ya kutumia boom 2:kuepuka kudisco na kusapu 3: jins ya kumenej time 4: kujua dem mzur anayekufaa 5: jins ya kuchagua marafk 6:kutambua matapel chuoni 7:jins ya kupiga chapo kuepuka kudisco 8: jins ya kula bata wakat wa field 9:jins ya kufoj assiment 10: pamoja na jins ya kufanya presentation .Ada ni bei nafuu na utalipa kidogokidogo tumewasaidia weng sana tunaaza fundisha kuanzia tarehe 20 had cku ya utakapo fungua chuo wote mnakaribishwa
great thinking starts from listening...!!
mkuu kwa kweli hujaitendea haki elimu yako!!!
kama kweli ni mgeni, ndio umpokee namna hii? je wewe ulivyoingia jf ulipokelewa namna hii?
jifunze