Watu wengi waliowahi kupunchiwa, kutolewa kwenye tabloids na kusingiziwa mambo wana hisia kama za huyu mama, kasoro yake tu ni kuwa she has guts to storm the media. Unadhani mama Clinton anafurahia mumewe akisemwa? Je Obama alipopigwa picha kama vile anamtazama kimwana ( picha haikitolewa yote obama was looking past the girl but the ight he was looking to was not shown) na hata wazazi wa hao bongo celebrities wanavyochorwa kwenye magazet ya udaku, usifikiri wanafurahia, wana hasiora kali bali hawajui cha kufanya. Na haka tunakoita kaelimu wakati mwingine ndiyo kanatuzuia kupiga makofi waandish wa habari. Kuna binti alitolewa kwenye gazetyi la udaku hapo, ilileta ugomvi mkubwa kwenye familia, extended family hawakuelewa kinachoendelea wakamtenga, mzee wake alimtenga, mama yake na baba yake wakawa kambi tofauti kuhusu kilichotokea, basi ikawa tafrani tu. Namuunga mkono mama kibaki.