1st Lady aliyemweka rais kiganjani waziwazi..mzee ana sauti kweli hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

1st Lady aliyemweka rais kiganjani waziwazi..mzee ana sauti kweli hapa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ubungoubungo, Jun 14, 2010.

 1. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wajameni, hivi Rais akiwa anaongea, mke wake anaweza kudakia mbele za press conference? mzee alifurumushwa home akaambia haraka aende kwenye public kuongea kuwa yeye peke yake ndo mke na hakuna mwingine..nilimwonea huruma sana mzee kibaki...ivi nyie wanawake, kwanini wengine mnawaendesha sana wanaume hadi wanatia huruma na aibu hivi?..sasa hapa, Rais wa nchi anaonekana kama ni Lucy kibaki, na si mzee kibaki...ivi uyu mama kenya ana cheo gani?   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  jamani, mim mwenzenu nikiwa mbele za watu tunaongea, na niko na my waifu wangu pembeni, nikiwa naongea halafu yeye ananikatisha maongezi yangu, chamoto atakiona hao watu wakiondoka au tukifika home...sitampiga ngumi lakini...
   
 3. V

  Victorina Member

  #3
  Jun 14, 2010
  Joined: Sep 21, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama anahasira huyooo! Hahahaha!
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  yaani uyu mama utafikiri yeye ndo rais...itatokea nini siku mama salma kikwete akiwa ameambatana na mkuu wa kaya,..jk akiwa anaogea kuhusu jambo fulani, mama salma akadakia...

  hivi wakenya wanamrecognise uyu mama kama nani,,,hana cheo chochote, wakenya anawahusu nini, anafikiri watamsikiliza,..wakenya walimpa kura mmewe siyo yeye...

  by the way,..hii kitu ni ya zamani, sio current. my point was that, kama mwanaume, utakuwa kwenye kibano cha aina gani kuwa na mke kama huyu anayekulazimisha wewe rais uje mbele ya kadamnasi umtaje yeye kama ndo mke pekee..unafikiri mzee kibaki hata usingizi alilala...atakuwa alipigwa vibao huko home hadi akasema..haaaa,mama kesho lazima naita press conference wewe tu ndo mke wangu...kashikishwa adabu..
   
 5. n

  nndondo JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Why bring old staff here?
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mnaambiwa msiwatende kwa uovu wake wa ujana wenu. Namsapoti mama Kibaki, abiria chunga mzigo wako.
   
 7. Muthaisu

  Muthaisu Member

  #7
  Jun 14, 2010
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kenyan women hawakutolewa ubavuni lakini kwa utosi wa kichwa ...nikunyimwa mak*nde walinyimwa...they are more dangerous than the male of the species!
   
 8. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hata ndugu zake tu hawawezi kumwokoa huyo baba jamani, kama kalishwa libwata...hata kwenye mambo ya kiselikali mama yuko juu anamkatisha hata presda wa watu anapoongea, sasa mkuu wa nchi hapo ni nani, mwenye sauti hapo ni nini..huu ni mfano tu wa baadhi ya ndoa ambazo wanawake wanawanyanyasa sana wanaume....na wanaume nao wanahitaji kuokolewa kutoka kwenye utumwa huo kama vile wabeijing wanavyohangaika na uwanaharakati tu.
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Lkini huyu mama Kibaki hana nidhabu wal stara.
  kwa mwanamke anayejitambua hawezi kuwa hivi.
  Au huo ni ulimbukeni.
  Mchek kwenye hiyo video ya kwanza utasema yeye ni board guard.
   
 10. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nyie wa hivi mkikamatika ndio mnakuna hadi nazi!:lie:
   
 11. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  maskini mzee, mabavu yote yale kwa odinga, amenyoosha mikono kwa mama mwenye nyumba...maza hausi...
   
 12. K

  Keil JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Anakuja kuchunga mzigo mwisho wa safari? Lucy Kibaki alikuwa anajua kwamba mumewe ana mahusiano na huyo mama na pia amezaa mtoto wa kike na huyo mama wa Othaya. Kwa hiyo hakukuwa na kipya hapo, ila ni mama alikuwa anataka kuonyesha ubabe wake tu.

  Hapo ndipo ninapomuona huyo mama hana hekima wala busara (sorry kwa huo mtazamo). Kwanza alijitwalia sheria mkononi kwa kumpiga makofi mwandishi wa habari. Pili, akaenda kumlazimisha mumewe atamke hadharani kuwakana kimada na mwanae. Tatu, anaingilia press conference ya Rais. Ukichanganya yote hayo, unajiuliza kama huyo mama yuko sawa.

  Yeye angekuwa na busara, ange-deal na mumewe huko huko nyumbani kwao na siyo ku-create scene mbele ya public. Kwa matendo aliyoyafanya zama hizo ni kama alimdhalilisha Kibaki mbele ya wakenya wote.
   
 13. K

  Keil JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama anafanya kwa kupenda, sioni ubaya. Tatizo ni pale anapofanya kwa kulazimishwa, ama kwa kudhalilishwa mbele ya watu. Mfano, baba yuko na wageni anaongea nao sitting/living room then mama anakuja na kuuliza Baba flani hivi leo umekaa hapa unapiga soga ndo kusema kwamba hatutakula chakula cha jioni?
   
 14. Mpeni sifa Yesu

  Mpeni sifa Yesu JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  bora hata hapo...lakini kama kwenye picha iyo ya kwanza, rais wa nchi aliyechaguliwa na wananchi anaongea, halafu mkewake bila hata utaratibu anakatisha maongezi ili kumjibu mwandishi wa habari,,,kibaki kajisikia vibaya sana pale ndo maana ameondoka akatangulia zake hata hajamshika mkono waongozane. labda kama kibaki angempa ruhusa ya kuongea, lakini yeye kakatisha rais wanchi hata hajamaliza neno yeye kishakatisha, wasingekuwa public pale, mzee kibaki angerespond vingine. mkiwa mnaongea na watu akaja kihivyo kama unavyosema wewe, inaweza kuwa utani wa kawaida tu wa mke na mume ambao mnaweza kutaniana hata mbele za watu...sasa inakuja pale anaonyesha ubabe juu yako mbele za watu..kweli hapo ni tatizo.

  kwa upande wangu mimi, waifu akiwa anajisikia vibaya na housegirl hayupo, nitapika, nitadeki,nitaosha vyombo, nitanawisha watoto, nitatandika kitanda etc...ila akiwa mzima..kwakweli atanisamehe...sitaki bughudha kabisa...ni kazi yake haiihitaji maelezo.
   
 15. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  dada nitake radhi kwa sentensi yako!...kusema kweli, mke wangu nampenda sana, namtetea sana toka kwa mawifi zake na watu wengine, namnunulia atakacho, namfanyia chochote apendacho na najitahidi muda wote awe na furaha ili tuishi maisha marefu...lakini ikija kwenye kukuna nazi kama unavosema..kwakweli nimesahau...kuna kipindi yeye na msichana wa kazi na watoto walisafiri mimi bahati mbaya nikalazimika kubaki Dar...ilikuwa shida, vyombo alikuja kukuta viko shagalabagala, kudeki nilishasahau,nilikuwa nakula chips tuuu kila siku hadi alikuja kukuta nimekonda...kudeki ilikuwa shida yaani maisha yalikuwa mapya kabisa.nimesahau ni miaka mingi mno...kwakweli hata kama anaumwa, itabidi tu niende kununua msosi nje nilete ndani tule...ni aibu kusema hivi lakini ndo uzaifu wangu kwanini nijifiche...

  ukisoma post zangu kama kumi hivi tangu nimeingia humu ndani, utanielewa mimi nikoje, na kama mke wangu anaweza kunitawala au la!
   
 16. K

  Keil JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hapo sina matatizo kabisa na ndio maana nilisema kama mtu anafanya kwa kupenda, inapendeza sana na kuongeza upendo kwa wahusika. Hongera sana kwa kuwa na moyo, lakini hata ukimuona amechoka, siyo vibaya kusaidiana na esp. kama hakuna msaada mwingine.
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Huyu mama inaonesha ni mtambo wa gongo! Hizo hasira naamini alikuwa tayari kupata kisusio cha mtu yeyote ambaye angekatisha mbele yake!

  Mhh, tunawapenda wake zetu lakini wengine ni viroba vya bangi!!
   
 18. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  imagine mama salma ndo anamzukia mkuu hivyo...mbona kitakuwa kichekesho..halafu, kama kweli mzee kibaki ana mtoto nje, iyo dhambi ya kumkataa mtoto wake mbele ya kadamnasi atamfanyaje mwanae ili aje amsamehe kwasababu ni kitu kibay sana. uyu mama alitakiwa yeye kama first lady ashugulikie kujenga historia/ukurasa kama mafirst lady wengine duniani, afanye kitu kitakachomfanya akumbukwe na sio kugombana na wananchi kwa ngumi mkononi na kumlazimisha mzee wa watu kutia aibu mbele za watu kiasi icho...
   
 19. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mnajadili historia? Hii ishu mbona ya zamani sana na ilishajadiliwa hadi ikachusha! Mdau umeamka usingizini?
  ila tukirudi nacho Lucy Kibaki ana haki kutetea ndoa na nafasi yake kama festiledi ( kaangalie Bill of rights ya MKJJ).Kwani ingekuwa ni Kibaki anafanyiwa dhulumat kwenye ndoa na Lucy unadhani angekaa kimya ati kwa vile ni mume wa rais!? Hebu msichekeshe watu nyie mnaomtetea ati Lucy anamtesa Kibaki.Kibaki anachanganya madawa - huku ana Wamboi kwa siri -angemuoa na kumtambulisha rasmi ingekuwa stori nyingine.Na kwa vile ni mke asiye rasmi ndio maana Kibaki akatangizia hadhira kuwa Lucy ndio mke pekee!

  Wamboi mfanya biashara hadi magendo ya kulitia aibu taifa hamuoni hilo.Wamboi keshamuabisha Kibaki hadi ikawa noma! Deal zake na wa Armenia hamjui hilo?
   
 20. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,462
  Likes Received: 1,364
  Trophy Points: 280
  Du mama anaonekana ana jazba sana na unaweza kuta alimwambia mzee aitishe press ili kuelezea hilo la sivyo................
   
Loading...