Pole sana kama huwa unaamini USA huvamia nchi nyingine kwa kulinda amani ya nchi hizo! USA na nchi zingine zenye nguvu hutazama zaidi maslahi ya nchi zao na wakati mwingine huwagawa ili kuwatawalaHakuna nchi walikoingilia marekani huwa inabaki salama!
Huwa wanaingia kwa gia ya kuzuia mauaji ya watawala dhidi ya RAIA, lakini wakiingia wao mauaji ndo huzidi na wakimaliza uharibifu wao nchi huachwa kama vile haina mwenyewe na mauaji ya wenyewe kwa wenyewe huzidi. Hicho ndicho kinachotokea Libya, Iraq na Afghanistan!
Marekani wanatamani pia kuivuruga Syria na Korea ya kaskazini!
Ila kote wanaweza ila Korea kaskazini wataingia choo cha kike! Ndo maana walipogundua wataadhirika wakasepa kimya kimya! SAA hii ishu ya Korea kaskazini washapotezea na vyombo vyao vya habari kimyaa utafikiri hii ishu haikuwepo! Ni kama vile puto limechomwa sindano! kimyaa! Ama kweli ni ushindi wa karne kwa dogo wa Mapank! Siyo siri Marekani mwoga sana! Dogo wa Mapank kamvimbia mzee mzima akasepa! Hata wakipotezea hatusahau!
Kkkkkkk mzee wa wigi kakimbia na mpira na mechi ikaisha hapohapoHakuna nchi walikoingilia marekani huwa inabaki salama!