pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,355
Na hii yote ni kutumia pesa zetu za ndani kuiletea Kenya sifa bara Africa yote unlike our Tz brothers spending so much on new cars for a mere SADC summit of 12 countries.Beautiful Naby Keita wakati wa mchezo umewadia...
Wanamichezo sita pekee yake? Ni kweli au ni utani?Only 6 will rep tz. Wanabana matumizi kufund big projects(kwa pesa zetu)
Hutawaona kwenye uzi huu, mchezo wanaoufahamu vizuri ni ule ambao wanachezewa na chama chao tukufu. Kwenye michezo hawa jirani zetu ni ovyo kupindukia.Na hii yote ni kutumia pesa zetu za ndani kuiletea Kenya sifa bara Africa yote unlike our Tz brothers spending so much on new cars for a mere SADC summit of 12 countries.
Hutawaona kwenye uzi huu, mchezo wanaoufahamu vizuri ni ule ambao wanachezewa na chama chao tukufu. Kwenye michezo hawa jirani zetu ni ovyo kupindukia.
Hutawaona kwenye uzi huu, mchezo wanaoufahamu vizuri ni ule ambao wanachezewa na chama chao tukufu. Kwenye michezo hawa jirani zetu ni ovyo kupindukia.
Very true. Ilikuwa BBC Swahili Wednesday.They'll confirm.Wanamichezo sita pekee yake? Ni kweli au ni utani?
Kweli kabisa, wakenya wamefuzu kwa wingi tena kwenye michezo ya aina yote. Kenya itakuwa na wawakilishi kwenye michezo kama riadha, archery, badminton, basketball 3-on-3, boxing, canoe kayak, rowing, chess, cycling, handball, judo, karate, shooting, swimming, table tennis, tennis, triathlon, indoor volleyball, beach volleyball, weightlifting na wrestling.Hongera sana kuwaona vijana wetu wakifuzu kwa wingi kuwakiwakilisha nchi, dah ila majirani hushangaza sana, yaani wanakwenda 6 ilhali Kenya inatuma 290, kwa kweli haitaokea siku tuwe kwenye ligi moja na hawa.
Njooo kitandani tuchezeBeautiful Naby Keita wakati wa mchezo umewadia...
Huo huwa sichezi. Nimebaki kuwa mpenzi mtazamaji.Shukuruni MunguNjooo kitandani tucheze
Mimi nakutaka urudi tuuchezeHuo huwa sichezi. Nimebaki kuwa mpenzi mtazamaji.Shukuruni Mungu
Sipendi wanaume. Nipeni FaizaFoxyMimi nakutaka urudi tuucheze
Hupendi wanaume kwani we unasaga na kukoboaSipendi wanaume. Nipeni FaizaFoxy
Ndio sisi hatukimbizi upepo sababu ya njaa tunafanya michezo starehe sio michezo njaa kama hukoHongera sana kuwaona vijana wetu wakifuzu kwa wingi kuwakiwakilisha nchi, dah ila majirani hushangaza sana, yaani wanakwenda 6 ilhali Kenya inatuma 290, kwa kweli haitaokea siku tuwe kwenye ligi moja na hawa.
Ushirikina ndio unawaponza nyie, ulaji wa albino.Ndio sisi hatukimbizi upepo sababu ya njaa tunafanya michezo starehe sio michezo njaa kama huko
Ndio sisi hatukimbizi upepo sababu ya njaa tunafanya michezo starehe sio michezo njaa kama huko