ziara za rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ziara za Rais Samia kuelekea Ulaya 2025- 2026

    Rais Samia na mwanao andaeni mlio Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu. 1. Kisiasa Kisiasa Rais Samia hukubaliki ndani ya CCM na nje CCM mbaya zaidi haukubaliki pia ndani ya nchi na nje ya nchi...
  2. PreGE2025 Makalla: Hatuhitaji mbereko yoyote Tutashida Uchaguzi kwa haki

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema wamejipanga kuwafikia wananchi kupitia ziara zinazofanywa na viongozi wao ikiwa ni maandalizi kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Makalla amesema hayo leo Jumanne Agosti 6, 2024 katika...
  3. L

    PreGE2025 Tazama Video Watu wamiminika na kufurika kwa Rais Samia mpaka Aamua kujipiga picha kwa furaha

    Ndugu zangu Watanzania, Haya ni mahaba kwa Rais Samia ambayo watanzania wanampatia Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Hii haijawahi kutokea popote pale Barani Afrika kwa Kiongozi kupendwa kiasi hiki mpaka watu wanaishiwa nguvu za kusimama...
  4. L

    Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

    Ndugu zangu Watanzania, Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito sana ya kikazi Nchini Korea ya Kusini. Ambapo huko anatarajiwa kufanya mazungumzo mazito sana na Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…