Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajia kuingia Ndani ya Kigamboni Wiki Ijayo ya Tarehe 3.
Ambapo maandalizi kabambe na ya kutosha yanaendelea kufanywa na wana kigamboni kuweza kumpokea na kumlaki...