Wakuu,
Kwa wanaomfatilia Fred Vunja Bei alishawahi kusema kuwa ana "interest" za kugombea Ubunge, jimbo analotaka kugombea hakutaja na hata kwenye mkutano mkuu wa CCM pia alikuwepo
Leo katoa pisi 10,000 za nguo kama msaada na zawadi katika sikukuu ya Eid