Wakuu msiogope kudai zawadi zenu mnazopeana wakati wa uchumba/penzi likiwa moto kwa ahadi ya ndoa ikiwa mahusiano hayo yatavunjika.
Sheria ipo na inaifanya kazi.
Ukweli ulivyo
Sheria ya Tanzania inatambua kuwa unapoingia kwenye uchumba, unakuwa umetoa ahadi ya kisheria ya kuja kufunga ndoa...