zahanati ya kijiji mbozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbozi: Zahanati ya Kijiji yafungwa kwa kukosa Wahudumu. Wananchi wateseka

    Zaidi ya wananchi 1,000 wa Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wamekosa huduma za afya kwa miezi mitatu sasa, baada ya tabibu anayehudumu kwenye zahanati ya kijiji hicho kustaafu. Wananchi hao wamekumbwa na changamoto hiyo baada ya mhudumu wa awali kustaafu tangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…