youssouph dabo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Youssouph Dabo ulikuwa mbuzi wa Kafara pale Azam

    Baada ya kufungwa na Singida, sasa rasmi Azam FC hawatoweza kufikia idadi ya alama walizomaliza nazo msimu uliopita (69) walipokuwa chini ya kocha msenegali Youssouph Dabo, mpaka sasa Azam wana alama 51, wamesalia na mechi 5 ambazo hata wakishinda zote watafikisha alama 66. Tusamehe sana Kocha...
  2. Kocha aliyepewa "THANK YOU" Azam FC, Youssouph Dabo aibukia AS Vita Club ya DRC

    Youssouph Dabo ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa AS Vita Club, klabu maarufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Dabo anachukua nafasi hii baada ya kuachishwa kazi na Azam FC, ambapo aliifundisha timu hiyo. Uteuzi wa Dabo unakuja wakati ambapo AS Vita Club inahitaji kuimarisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…