Yanga wamebeba tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa mara 5 mfululizo
Ambapo msimu huu wa 2025/ 2026 ilionekana kama kutobeba ubingwa huu lakini wameonyesha ubabe wao tena
#####
Vinara wa ligi kuu bara au mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu ya Tanzania bara Young African sport club Leo watakuwa...
Kivumbi kingine kwa timu ya Wananchi Yanga SC katika ligi kuu ya NBC leo tena kuondoka na alama tatu?
🏆 NBC Premierleague
⚽️ Young Africans SC🆚JKT Tanzania
📆 22.10.2024
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Usiku
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeanza karibu kupata burudani ya soka
Dakika, 36 mpira bado...
Kama kawaida kama dawa.
Hii timu ya JKT ina beki imara nimetizama kwa jicho la mpira, vijwna wanautulivu wa hali ya juu kuanzia kipa beki mpaka viungo.
Hawabutui hovyo wala hawafanyi makosa mepesi.
Kuna muunganiko nyuma na kati kati.
Ni kama vile kwa mbaali nilidhani ni ukuta wa Yanga...