Tunaanza na Pamba Jiji #NBCPremierLeague 2025/26π°
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji
Dakika ya 17
Max nzengeli anakosa goli la wazi
Dakika ya 24
Yng 0-0 pmb
Dakika ya 28
Max nzengeli anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 38
Yanga SC wanapata free kick ecua anapiga na kukosa
Dakika ya 40...
Huyu jamaa wa timu ya Pamba kaitafuta card nyekundu kwa udi na uvumba. Yanga yenu ndio hiyo.
Haya ngoja tuone mvua ya magoli kwa Yanga na Azizi Ki anapata hat trick
Bahasha fc.
π°ππππ ππππππ°
π #NBCPremierLeague
β½οΈ Young Africans SCπPamba Jiji FC
π 03.10.2024
π Azam Complex
π 6:30PM(EAT)
Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC
Mpira umeanza
Dakika ya 5
Goal Baccaaaaaaaaaaa
Dakika 7
Tunashambulia kwa kasi
Dakika ya 12
Yanga SC wanapata Kona
Dakika ya 14
Tunapata...