yanga na folz

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Klabu ya Yanga yamtimua kocha wake mkuu Romain Folz baada ya kichapo kutoka kwa Silver Strickers

    Klabu ya Young Africans ya Tanzania imetangaza kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Romain Folz. Katika taarifa yake ya leo Oktoba 18, 2025, mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, wametangaza kuachana na Folz huku nafasi yake ikichukuliwa na kocha msaidizi Patrick Mabedi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…