Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said, amesema "Kama kuna jambo silipendi, ni kutoa furaha za watu. Najua kuna ndugu zangu ambao ni Simba na mimi ni Yanga. Bahati mbaya taasisi ambayo naishughulikia ni taasisi inayotaka matokeo, na kwa sababu ya ‘nature’ ya taasisi unalazimika kutafuta matokeo...