Larry Madowo ameendelea kujichukulia point muhimu kwa sakata linaloendelea Tanzania. Hivi karibuni amewahoji META sababu za kufungia akaunti za Mange, Maria Sarungi na SATIVA ambapo wamesema wasingezifungia TCRA iliwaambia wangewazuia kuoperate Tanzania.
Ushajiuliza kuzuia META ku-oparate...