๐ฏ๏ธ Kampuni ya Xiaomi imefanikiwa kutambulisha jina jipya kwenye soko la vifaa vya kieletroniki kimataifa inaitwa REDMI.
๐ฏ๏ธ Ukiangalia ni kama Mabadiliko mepesi kutoka "Redmi na kuwa"REDMI" lakini wamekuja na slogani yako wakisema Mabadiliko haya yataweza kuifanya simu zao kuleta muelekeo...