NYOTA wawili wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lisandro Martinez na Cristian Romero, walionekana wakikwepa kupeana mikono na Rais wa Marekani, Donald Trump.
Ni wakati wa kukabidhiwa medali ya kufika fainali ya msimu huu wa Kombe la Dunia, ambapo Argentina walikosa ubingwa baada ya kufungwa...