wizara ya uvuvi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Wizara ya Uvuvi imeachana na mpango wa kukopesha vizimba kutokana na ukosefu wa fedha

    Wizara haitatoa vizimba wala boti tena kwa wavuvi, hiyo ndio taarifa rasmi ambayo bado haijawa rasmi. Serikali imeamua kufanya hivyo kutokana na ukosefu wa fedha hasa ikizingatiwa bajeti kadhaa zimepita. Hii taarifa nimeipata kutoka Wizarani Dodoma.
  2. G

    Wizara ya uvuvi leo ni siku ya 6 wameshindwa kutatua mgomo baridi Tunduma

    Wafanyabiashara na madreva huko Moto umewaka. Kisa ni export royalty ambayo ilitakiwa wafanye majadiliano mambo yaishe. Wakusikia na asikie. Watu wanawaza mengi juu ya utendaji na watendaji wa wizara husika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…