WINFRIDA HUBERT GERALD(16)🇹🇿 One of the Best Talent 🧠! Kuanzia ndani ya klabu yake ya JKT Queens hadi National Team za Wanawake amekuwa na kiwango bora sana uwanjani pale anapopata muda wa kucheza, yupo kwenye umri sahihi kabisa wa kucheza soka la ushindani hasa ukitazama daraja la Ligi Kuu...