wilbroad slaa

The Party for Democracy and Progress (Swahili: Chama cha Demokrasia na Maendeleo), commonly known as Chadema, is a centre-right political party in Tanzania.
Chadema is the second-largest political party in Tanzania and campaigns on regional autonomous of self-governing states in the country.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Wilbroad Slaa: Kesho kila mtu avae nguo au kitambaa cheusi kama ishara ya kuwa yuko pamoja na Tundu Lissu

    Wakuu, Akizungumza kwa njia ya mtandao Wilbroad Slaa ametaka Watanzania kuvaa nguo nyeusi ili kuonesha kumuunga mkono Tundu Lissu hasa siku ya kesho ambapo kesi ya Lissu itakuwa inasikilizwa "Asubuhi kesho vijana wavae nguo nyeusi ishara ya kuonesha kuwa huyu Jemdari wetu tuko pamoja nae"
  2. O

    Ningependa kujua Yu wap Dkt. Wilbroad Slaa

    Habari ya jion wanajanvi. Ningependa kujua alipo gwiji uyu wa siasa apa Tanzania na ni lipi neno lake kuhusu kesi hii ya Lissu na hususan baada ya taarifa ya leo kuhusu wale waitwao mashahidi wa siri.
  3. PreGE2025 Wilbroad Slaa: Watu wanakufa na kupotea, utadhani Samia sio mwanamke anasema yeye ni chura kiziwi"

    Wakuu, Hivi kwa hali ya siasa ilivyo sasa hivi nchini, huyu mzee hawatajaribu kuruka nae kweli? Maana hizi spana Akiwa anazungumza kwenye mkutano wa No Reforms No Election, Slaa amesema kuwa huenda Samia hana tumbo la uzazi maana watu wanatekwa na yeye yuko kimya akiwa anajiita chura kiziwi...
  4. PreGE2025 Dkt. Slaa: Tulivyokuwa njiani OCD alitaka kutupitisha njia ya porini tukakataa

    Dkt Wilbroad Slaa akizungumza na wananchi wa Bukoba mjini katika ziara ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambacho kinakwenda na kauli mbiu ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  5. PreGE2025 Dk. Wilbroad Slaa: Sitagombea nafasi yoyote ya uongozi, bali nitaendelea kuwapigania Wananchi

    Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chadema Taifa Dokta Wilbroad Slaa, amesema kuwa kwa sasa hana nia ya kugombea nafasi yoyote ya uongozi ila atabaki kuwapigania wananchi. Slaa ameeleza hayo wakati wa mahojiano maalumu baada ya kuzuka kwa tetesi zinazoeleza kuwa kurejea kwake Chadema ni kutaka...
  6. PreGE2025 Dkt Slaa akanusha kurejea Chadema ili agombee Urais 2025

    Akihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa Chadema ni kwa faida za vizazi vijavyo, na kwamba kwa umri alionao hana haja ya kugombea Urais. Zaidi...
  7. PreGE2025 Kurudi kwa Dk. Wilibrod Slaa CHADEMA kunaashiria nini katika Siasa za Upinzani Tanzania?

    Mbeya, Tanzania – Machi 23, 2025 – Katika hatua muhimu kwa upinzani wa Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu wa Chadema na mgombea urais wa chama hicho mwaka 2010, amejiunga tena na chama. Hafla hiyo, iliyofanyika katika uwanja wa Ruanda Nzovwe huko Mbeya, ilishuhudia...
  8. PreGE2025 Wilbroad Slaa: Huwezi kumsifia Rais kwa kodi yangu. Samia Legal Aid ilikuwepo tangu kipindi cha Nyerere

    Wakuu, Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano ya moja kwa moja na Jambo TV, mwanasiasa maarufu ambaye alishawahi kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010, Wilbroad Slaa amesema kuwa sio sahihi kwa Rais kusifiwa kwa kutekeleza miradi ambayo imefadhiliwa na kodi za watanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…