Kukosewa kwa jina la tatu la mshitakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha Lengai Ole Sabaya, kumesababisha malumbano ya kisheria na kuahirishwa kesi kwa muda.
Katika hati ya maelezo ya mashitaka, jina Sabaya limesomeka Sayaba na kusababisha kuibuka kwa malumbano ya...
Nimemsikia Rais wetu mama Samia akitueleza vijana kuwa mkeka wa wakuu wa wilaya uko mbioni kutolewa na ameeleza wazi dhamira yake ya kuwaamini vijana.
Nikiwa kama mwenyeji wa wilaya ya Hai kijiji cha mbatakero kitongoji cha mlimafaru, naamini kabisa ninayo haki kama walivyonayo wengine ya...