Kuna baadhi ya watu huja kwenye maisha yako kama zawadi... lakini wengine huja kama darasa la maumivu. Na darasa hili lilinifundisha kuwa… mapenzi si ya waliokomaa tu, bali ni ya waliovunjika na wakaamua kupona.
Hii ni hadithi yangu. Ya kweli. Niliipenda kimya, nikaamini ni dua yangu ikijibiwa…...