wema na ukarimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sitakuja kumsahau huyu daktari kwa alichonifanyia

    Wakati najifungua mtoto wangu wa kwanza kuna daktari nafikiri alikua bado ni mwanafunzi Muhimbili alinishika mkono kwa zaidi ya lisaa limoja wodini akinituliza, na kunitia moyo. Yule daktari alikaa pembeni ya kitanda changu akawa ananiambia itakua fine, itakua fine, kwa sababu niliingiwa hofu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…