Jaman watanzania nahamasisha muamko katika teknolojia ya masjala mtawanyiko(blockchain technology ) kwa sababu kuna baadh ya nchi za Afrika zimepiga hatua katika hii teknolojia na zinaitumia katika ustaw wa Jamii na nchi zao,..
Nchi kama Kenya, .Ghana, Nigeria na kadhalika zimesharasimisha...