Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam inakanusha taarifa zinazosambaa katika baadhi ya majukwaa ya kijamii na vyanzo visivyo rasmi, zinazodai kuwa watumishi wa mikataba katika kitengo cha kukusanya mapato wanalipwa mishahara midogo, kwa kuchelewa, hawana siku ya mapumziko na baadhi hupewa...