watu wanatekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni kweli watu wanatekwa?

    Wakuu kama imeendelea kuwa ada hii imekaaje. Tutaishije TutAjilindaje Tushauriane kuepuka kutekwa
  2. PostGE2025 Padre Kitima: Hatuko salama, watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa, Vijana wamechoka

    "Tusikatae ukweli kwamba vijana waliandamana kwa sababu gani? wanasema sababu ya kwanza ukiuliza vijana wanasema hatuko salama watu wanatekwa, watu wanapotezwa, watu wanauawa, ni zoezi lina zaidi ya miaka miwili hilo linaendelea vijana wamechoka kuvumilia" "Demokrasia, haina maaana tena...
  3. GE2025 Watu wanatekwa sana na kuuwawa mbona hatusikii Mkunda akikemea? Jeshi lile sio la Mkunda wala Samia, ni la wananchi

    Watu wanatekwa sana na kuuwawa mbona hatusikii Mkunda akikemea ? jeshi lile sio la Mkunda wala Samia ni la wananchi Jeshi ni la wananchi sio Mkunda wala nani, ni jeshi letu sisi wananchi wakina Mkunda ni wasimamizi tu sio mali zao zile endapo kutakuwa na mazingira ya kuhatarisha nchi tunapaswa...
  4. GE2025 Polepole: Watu Wanatekwa, Wachache Wanajitajirisha kwa Vyanzo Visivyojulikana

    "Watu wanatekwa watu wanauawa, watu wanaporwa mali zao kikundi cha watu wachache sana kinajenga ukwasi na utajiri mkubwa na wingi wa fedha kutoka katika vyanzo visivyojulikana ndio wamejaa mjini, mimi naunga mkono matajiri waongezeke lakini kwa njia halali" Aliyewahi kuwa balozi wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…