Wakuu
====
Haya ni maneno aliyoyaandika Ndugu yetu Steven Nyerere anafaa kuwa msemaji nambari 2 wa serikali Kwa namna Moja ama nyingine na picha utakazoona ndizo alizoweka Bwana Steven katika maandishi haya.
Wapo watu leo hawata lala Maana walitumia Nguvu nyingi kuandika kwenye mitandao...