Watu wengi wenye upeo wa chini ambao wengi ni wanaccm (sababu zinafahamika) wanadhani kampeni ya No Reform No Election ni mpango wa Chadema kususia Uchaguzi.
Ukweli ni kwamba jambo hili si kususia uchaguzi, bali ni kuzuia kufanyika kwa uchaguzi ikiwa hakutakuwa na marekebisho ya utaratibu...