Amkeni Watanganyika
Tafakari hali yetu ya sasa: Taifa letu limeuzwa, tumechukuliwa mamlaka ya kumchagua au kumuweka kiongozi. Sasa tuna watu ambao hatuwataki wala hatukuwachagua.
Haki hii ambayo ni halali kwa kila raia wa taifa letu kikatiba imechukuliwa kwa Bunduki na risasi, taifa...