Sisi tusio wasomi tunashunda kuwaelewa wasomi wetu hapa Tanzania. Kuna wakati wasomi wanakubali kuwa hatuwezi kupiga hatua bila ya kukopa, na ndio maana tunailalamikia Serikali kuweka mazingira wezeshi ili tukopesheke kwenye taasisi za kifedha.
Hii yote ni kukubali kuwa huwezi kuendelea bila ya...