wasira ziarani shinyanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    PreGE2025 Shinyanga: Wasira atahadharisha wanaotaka kununua nafasi za ubunge, watumie pesa hizo kufungua biashara maana hawawezi kuhonga wajumbe wote 4,800

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameonya vikali dhidi ya wale wanaotaka kununua nafasi za ubunge, akisisitiza kuwa kitendo hicho ni ukiukaji wa maadili ya chama na hakitavumiliwa. Badala yake, amewashauri kutumia fedha hizo kuanzisha biashara kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…