Waliondoka CHADEMA sasa hivi wamerejea tena….. 🤣
Baadhi ya wanachama wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ambao awali walikuwa CHADEMA wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na changamoto kadhaa, ikiwemo unyanyasaji dhidi ya wanawake, uongo na ahadi hewa ya kupewa mikopo.