JajiJoseph Sinde Warioba, waziri mkuu mstaafu amesema maisha yake yako hatarini. Anatishiwa kuuawa, lakini hana cha kuogopa.
"Kuna watu wengi sana wanaoniletea ujumbe, kwamba mzee angalia. Ukiendelea hivi. ama utatekwa au utapewa sumu," anaeleza.
Anaongeza mini nawajibu tu hainipi matatizo...